KITUO CHA MAKUMBUSHO YA VITA YA MAJIMAJI – SONGEA MKOANI RUVUMA
Utapata kufahamu:
1. Historia adhimu ya Vita ya Majimaji ilipiganwa 1905 hadi 1907 kati ya wananchi wa Tanganyika na Wajerumani (wakoloni ya Kijerumani)
2. Eneo walionyongwa mashujaa 67 wa Vita ya Majimaji
3. Kaburi la alaiki ilikiwa na Majina ya mashujuaa 66 wa Vita ya Majimaji walionyongwa, 27 Februari 1906
4. Kaburi la Nduna Songea Mbano aliyekuwa Msaidizi wa Nkosi (Chifu) Mputa Bin Gwazerapasi Gama
5. Historia ya jina la Mji wa Songea
Mawasiliano:
Mobile: +255 784 472 700
E-mail: majimaji@nmt.go.tz
P.O Box 1249 - SONGEA
1. KITUO CHA MAJIMAJI.mp4 | 16.44 MB |