VIDEO

KITUO CHA KIJIJI CHA MAKUMBUSHO  Share  201

KIJIJI CHA MAKUMBUSHO – KIJITONYAMA DAR-ES-SALAAM (OPP NA ALLI HASSAN MWINYI ROAD)

 

Kupata fursa ya:-

1. Kujifunza mila, destuli na tamaduni za makabila ya Tanzania

2. Kupata burdani za ngoma za asili

3. Kupata bidhaa za sanaa kutoka kwa wajasiliamali

4. Kuburudika na kujifunza kupitia matamasha ya utamaduni wa mtanzania


Mawasiliano:

Mobile: +255 715 865 662

E-mail:  village@nmt.go.tz

       P.O Box 511 - DAR ES SALAAM