KITUO CHA MAKUMBUSHO YA Mwl. JULIUS KAMBARAGE NYERERE – BUTIAMA MKOANI MARA
Utapata kufahamu:
1. Historia adhimu ya maisha ya Mwl. Julius K. Nyerere
i. Kuzaliwa kwake
ii. Kusoma kwake
iii. Shughuli alizozifanya kabla ya kuwa kiongozi
iv. Shughuli alizozifanya akiwa na nafasi za uongozi
v. Shughuli alizozifanya baada ya kutoka kwenye uongozi
2. Mila na Desturi za kabila la Wazanaki kupitia onesho la nyumba za jadi za Wazanaki.
Mawasiliano:
Mobile: +255 784 859 057
E-mail: jknyerere@nmt.go.tz
P.O Box 995 - MUSOMA
1. Mwl NYERERE.mp4 | 30.00 MB |