VIDEO

KITUO CHA MAKUMBUSHO NA NYUMBA YA UTAMADUNI  Share  327

MAKUMBUSHO NA NYUMBA YA UTAMADUNI – POSTA DSM (MKABALA NA CHUO CHA IFM)

 

1. Historia ya Makumbusho

2. Historia ya Tanzania

3. Sanaa za kisasa na za Miambani

4. Chimbuko la mwadamu

5. Magari ya kihistoria

6. Onesho la kumbukumbu ya ulipuzi wa mabomu ubalozi wa Marekani – DSM

7. Maktaba ya watoto na wakubwa

8. Ukumbi wa Sanaa za jukwani (Theater)

9. Kumbi za mikutano na sherehe


Mawasiliano:

Mobile: +255 754 392 462

E-mail:  mhoc@nmt.go.tz

       P.O Box 511 - DAR ES SALAAM