MJI MKONGWE MIKINDANI – MTWARA MIKINDANI
Kupata fursa ya kujionea:-
1. Ngome ya kwanza ya Wajerumani na Makao Makuu ya Waingereza
2. Kasri la Gavana wa Ujerumani
3. Msikiti wa kwanza wa karne ya 14
4. Soko la zamani la watumwa
5. Makaburi ya karne ya 14
6. Kisima cha kale cha Haikata
7. Jengo la benki ya Wajerumani na Waingereza
Mawasiliano:
Mobile: +255 754 666 112
E-mail: mikindanisite@nmt.go.t
P.O Box 1164 - MTWARA
1. Promo Video Mikindani.mp4 | 12.36 MB |